Rapper prezzo hospitalized after being overpowered and raped by three women

Mwanamuziki Prezzo kutoka Kenya amelazwa katika Hospitali ya Karen baada ya kunyweshwa dawa na kubakwa na wanawake watatu. Inasemekana alipewa Cocaine na Viagra kabla ya kukumbwa na mkasa huo akiwa hajitambui. Jeshi la Polisi linawashikilia wanawake watatu kwa ajili ya mahojiano.

Post a Comment

Previous Post Next Post